briceka.com/f/swahili-news

Swahili news

Curated RSS Feed by Briceka Admin.

Wakenya wafukua alichosema Okoth Obado baada ya Sharon Otieno kuuawa

Wakenya wameibua tena jumbe za rambirambi za Okoth Obado za mwaka 2018 kwa Sharon Otieno baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanafunzi huyo....

Jul 24, 2026 Read Preview →

Safaricom yaanza kurejesha fedha za M-Pesa kwa maelfu ya wateja, yaeleza sababu

Kampuni ya Safaricom imeanza kurejesha kiotomatiki salio la zamani la M-Pesa kwa wateja wenye laini mpya, hatua iliyowashangaza wengi nchini.......

Jul 24, 2026 Read Preview →

Northlands City: Mike Sonko afichua jinsi mradi wa mabilioni wa Uhuru ulivyosababisha ugomvi wao

Mike Sonko asema alikosana na Uhuru Kenyatta baada ya kukataa kubomoa makazi ya Ruai ili kupisha mradi wa mifereji wa Northlands City. TUKO.co.ke..

Jul 24, 2026 Read Preview →

Mwanafalme wa Saudi apatikana amefariki bafuni mwa hoteli, CCTV yaonyesha dakika zake za mwisho

Mwanafalme Abdullah bin Fahad alikutwa amefariki dunia katika hoteli London. Uchunguzi wa kina ulibaini viwango vya juu vya pombe na dawa mwilini.

Jul 24, 2026 Read Preview →

Dadake Sharon Otieno ashukuru baada ya Obado kutiwa hatiani: "Mungu ni nani"

Dakika chache baada ya Obado na wenzake kupatikana na hatia ya kumuua Sharon Otieno, dada yake Whitney alitoa ujumbe wa hisia akimshukuru Mungu.....

Jul 24, 2026 Read Preview →

Jicho Pevu: Mohamed Ali azungumzia kesi ya Albert Ojwang huku ushahidi wa CCTV ukiibuka

Mohamed Ali asema ushahidi wa CCTV umebomoa madai ya kuficha ukweli katika kesi ya mwalimu Albert Ojwang, akisisitiza kuwa haki itatendeka hivi karibu...

Jul 24, 2026 Read Preview →

Serikali ya William Ruto yakanusha madai ya kumteua Winnie Odinga, Junet na Malala kuwa mawaziri

Tume ya EACC imeitaja kuwa bandia barua iliyosambaa ikidai Rais William Ruto amewateua Winnie Odinga, Junet Mohammed na wengine kuwa mawaziri......

Jul 24, 2026 Read Preview →

Jaji afichua siri iliyomsukuma Obado kupanga mauaji ya Sharon Otieno

Jaji Cecilia Githua alisema gavana wa zamani Obado alitaka kuzima siri ya uhusiano wake na Sharon Otieno ili kuepuka aibu ya kisiasa baada ya ujauzito...

Jul 24, 2026 Read Preview →

Jaji afichua kilichomsukuma Okoth Obado kupanga mauaji ya Sharon Otieno

Jaji Cecilia Githua alisema Okoth Obado alitaka kuzima siri ya uhusiano wake na Sharon Otieno ili kuepuka aibu ya kisiasa baada ya ujauzito wao.....

Jul 24, 2026 Read Preview →

Jamaa aangua kilio kortini baada ya Obado kupatikana na hatia ya kumuua Sharon

Mahakama Kuu ilimpata gavana wa zamani Okoth Obado na wenzake na hatia ya mauaji ya Sharon Otieno, huku hukumu hiyo ikizua hisia nzito na kilio kortin...

Jul 23, 2026 Read Preview →

Okoth Obado na washitakiwa wengine 2 wapatikana na hatia ya mauaji ya Sharon Otieno

Aliyekuwa gavana wa Migori Okoth Obado amepatikana na hatia ya kumuua Sharon Otieno huku ushahidi ukimhusisha yeye na washitakiwa wenzake. TUKO.co.ke

Jul 23, 2026 Read Preview →

Gachagua amtupia dongo msemaji mpya wa serikali Charles Owino: "Hatakuwa na kazi chini ya Ruto"

Rigathi Gachagua anashangaa kuhusu nafasi ya Charles Owino kuwa msemaji mpya wa serikali, akidai Rais William Ruto huzungumzia kila suala mwenyewe.

Jul 23, 2026 Read Preview →

Kenya Met yataja kaunti 26 zitakazoshuhudia mvua ndani ya saa 24

Idara ya Hali ya Hewa yatabiri mvua katika kaunti 26 huku Turkana ikitarajiwa kurekodi joto la juu la nyuzi 36, Nairobi nayo ikipokea mvua. TUKO.co.ke

Jul 23, 2026 Read Preview →

Mama Mkenya avunja ukimya kuhusu video iliyosambaa ikimuonesha mwanawe akiadhibiwa kwa moto

Emily asema video iliyosambaa mitandaoni ya kumuadhibu mwanawe iliigizwa kumtisha aache wizi, huku familia ikisisitiza kuwa hakukuwa na madhara yoyote...

Jul 23, 2026 Read Preview →

Bendor Farm: Ndani ya shamba la ekari 1,000 mjini Thika ambako Chris Kirubi alizikwa

Gundua Bendor Farm ya Chris Kirubi huko Thika, shamba la ekari 1,000 lenye mashamba makubwa ya ndizi na parachichi lililoonyesha maono yake ya kilimo.

Jul 23, 2026 Read Preview →

About this Feed

Briceka aggregates and curates high-quality content from trusted sources. This feed is updated regularly to provide you with the latest insights, news, and updates.